1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.08.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Agosti 2018

Zaidi ya watu millioni moja wamefurika katika kambi za muda baada ya kuokolewa kutoka maeneo yaliyoathiriwa vibaya kutokana na mafuriko makubwa kwenye jimbo la kusini mwa India la Kerala ambapo kiasi watu 410 wamepoteza maisha.

https://p.dw.com/p/33Vx0