1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.07.2021 Matangazo ya Jioni

TSA / S08S21 Julai 2021

Tanzania: Chadema yawaamuru wafuasi wake kumsaka Mbowe/ Chadema kimelaani kukamatwa kwa mwenyekiti wake na wenzake 10, kusema hatua hiyo inaashiria kwamba udikteta uliokuwepo wakati wa utawala wa Magufuli bado unaendelea/ Israel kuichunguza kampuni yake ya ujasusi/ Euro milioni 400 kusaidia wahanga wa mafuriko Ujerumani/ Cyprus yapeleka suala la mvutano wa kisiwa mbele ya baraza la usalama la UN

https://p.dw.com/p/3xo8C