1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.06.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S21 Mei 2019

Iran na Marekani zimekuwa katika vita vya maneno vyenye kusababisha hofu ya usalama wa dunia// Ripota wa DW Bernd Riegert anautaja uchaguzi unaokuja wa bunge la ulaya kuwa ni muhimu kupita kiasi// Raia wa Malawi wanakwenda vituoni hii leo kuchaguwa viongozi wao kuanzia rais, wabunge na madiwani, katika uchaguzi wenye ushindani mkali ambamo wagombea wanane wanawania kiti cha urais.

https://p.dw.com/p/3Iobo