21.04.2018- Matangazo ya jioni | Habari za Ulimwengu | DW | 21.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

21.04.2018- Matangazo ya jioni

Tuliyo nayo ni pamoja na : Jumuiya ya kimataifa yakaribisha hatua ya Korea Kaskazini kuacha majaribio ya nyukilia// Wataalamu wa OPCW waelekea eneo linalodaiwa kufanyika shambulizi la sumu nchini Syria// Hali ya hatari kurefushwa Uturuki hata baada ya uchaguzi wa mapema.

Sikiliza sauti 59:59