1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.12.2019 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

V2 / S12S20 Desemba 2019

Urusi na Ukraine zimefikia makubaliano muhimu ya kuendelea kusafirisha nishati ya gesi. Polisi ya India imewauwa waandamanaji wawili katika eneo la kusini ya nchi ya hiyo. Afisa wa zamani wa serikali ya Rwanda amepatikana na hatia ya mauaji ya kimbari nchini Ubelgiji.

https://p.dw.com/p/3V7RG