1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.11.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Novemba 2019

Aliyekuwa waziri wa Ulinzi nchini Israel Avigdor Lieberman amegoma kumuunga mkono ama Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu au mpinzani wake, ambaye ni mkuu wa zamani wa jeshi la Israel Benny Gantz kuwa Waziri Mkuu// Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Thailand hii leo kwa ziara ya siku nne ambako anatarajiwa kukutana na viongozi wa taifa hilo na kuongoza ibada takatifu

https://p.dw.com/p/3TPRn