1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.11.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S20 Novemba 2019

Polisi ya Hongkong inatishia kutumia risasi za kweli, lakini matumizi yaliyokithiri ya nguvu sio ufumbuzi wa mzozo wa jimbo hilo// Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameanza ziara ya siku tatu nchini Thailand// Ili kuongeza kasi ya uwekezaji na kuendelea kuchochea mabadiliko ya kiuchumi chini Tanzania, serikali imeshauriwa kuongeza juhudi na kufanya mabadiliko ya haraka.

https://p.dw.com/p/3TMiN