1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.11.2019 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S20 Novemba 2019

Shirika la Amnesty International limesema zaidi ya watu 100 wameuwawa nchini Iran. Waziri mkuu wa Uingereza na Kiongozi wa upinzani wachuana kwenye mdahalo wa televisheni. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anayazuru mataifa mawili barani Asia.

https://p.dw.com/p/3TMSF