May- Uingereza itatimiza wajibu wake kikamilifu katika Umoja wa Ulaya// ICC- imemaliza leo ziara yake ya siku tano katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo// Kenyatta leo amewaachilia huru wafungwa wapatao 7,000 // Uganda- Kamati ya bunge ya mambo ya kanuni, haki na nidhamu ya bunge Jumatano hii limesisitiza kwa kutaka wahariri kutoka vyombo vitatu vya habari nchini humo kujitokeza ili kuhojiwa.