1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.08.2015 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Agosti 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni pamoja na:Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameisifu Brazil leo kwa kupiga hatua kubwa katika kupunguza uharibifu katika msitu wa Amazon// Ukraine imesema wanajeshi wake wanne wameuwawa na wengine 14 wamejeruhiwa katika mapigano mapya na wapiganaji wanaotaka kujitenga mashariki mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/1GJ6J