1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.06.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Juni 2022

Viongozi wa EAC wakutana kujadili usalama wa Kongo/ Nchini Tanzania mabishano makali yameibuka bungeni kufuatia sakata linaloendelea wilayani Loliondo kaskazini mwa Tanzania/ Mzozo wa Ukraine/ GMF: Washiriki 2,000 wahudhuria kongamano la vyombo vya habari Bonn/ Waandishi habari wawili waliokusanya matukio ya kutisha katika mji wa Mariupol wametunukiwa tuzo ya DW ya uhuru wa kujieleza

https://p.dw.com/p/4CxjD