1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.05.2017 Taarifa ya habari ya Asubuhi

Sudi Mnette
20 Mei 2017

Kura zahesabiwa Iran baada ya uchaguzi wa jana, Trump kaanza safari yake ya kwanza ya kimataifa na Umoja wa Afrika waomba msaada wa kijeshi wa kimataifa katika kukabiliana na mbabe wa vita Joseph Kony.

https://p.dw.com/p/2dHDH