1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.01.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Januari 2022

Tanzania- Chama cha Mapinduzi CCM, kimempitisha Naibu Spika wa bunge la Tanzania, Tulia Ackson kuwa mgombea wa nafasi ya spika wa bunge+++Umoja wa Ulaya umetishia kuiwekea Urusi vikwazo vikubwa vya kiuchumi iwapo itaivamia Ukraine+++Papa Benedict XVI alaumiwa kwa unyanyasaji wa watoto+++Mkanyagano Liberia waua watu 29.

https://p.dw.com/p/45quK