20.01.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 20.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

20.01.2021 Matangazo ya Mchana

Biden ataapishwa leo kuwa rais wa 46 wa Marekani/ Uganda baada ya uchaguzi: Waganda wenyewe wanasemaje kuhusu kile kilichotokea, hali ilivyo sasa na mwelekeo wa taifa hilo?/ Vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Afrika ya kati vimeyapinga matokeo ya uchaguzi/ Kenya: Ongezeko la vijana wanaojiunga na makundi ya kigaidi

Sikiliza sauti 59:59