1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.01.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S20 Januari 2020

Viongozi wa kimataifa wakubaliana kuhusu hatua mpya za amani Libya/ Michel Aoun atakutana na maafisa wa Usalama kujadili amani ya Lebabon/ Kenya: Viongozi wa kidini katika eneo la pwani wameomba ulinzi kutoka serikalini/ Hali ya kisiasa nchini Kenya inaelezwa ni kama vile uchaguzi mkuu unafanyika muda wowote kuanzia sasa, kwa jinsi wanasiasa mahasimu wanavyoendesha siasa zao

https://p.dw.com/p/3WTLt