1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.11.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S19 Novemba 2020

Watu watatu wafariki Uganda katika ghasia za uchaguzi/ Polisi Tanzania: Wapinzani mlioko uhamishoni rudini nyumbani/ Visiwani Zanzibar, Rais mpya wa visiwa hivyo ametangaza baraza lake jipya la mawaziri 15/ Ethiopia yamshutumu mkuu wa WHO kwa kuwasaidia waasi/ Wanajeshi wa Australia walitenda uhalifu wa kivita Afghanistan - Ripoti

https://p.dw.com/p/3lXxd