1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.10.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S19 Oktoba 2017

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutteres ameitolea mwito jumuiya ya kimataifa kuunga mkono na kusaidia kikosi cha pamoja cha wanajeshi 5000 chenye jukumu la kupambana na kiticho kinachoongezeka cha makundi ya itikadi kali katika ukanda wa Afrika wa Sahel, na kuonya kuwa bila kuchukuwa hatua za haraka,utulivu wa eneo hilo na maeneo mengi utakuwa hatarini.

https://p.dw.com/p/2m9bp