1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.09.2019 Matamgazo Ya Jioni

SK2 / S02S19 Septemba 2019

Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ameanza ziara yake nchini Italia kwa kupongeza msimamo wa serikali mpya ya mseto ya nchini Italia wa kuunga mkono Umoja wa Ulaya//Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran amesema shambulio lolote dhidi ya nchi yake, kufuatia hujuma dhidi ya miundombinu ya mafuta ya Saudi Arabia litasababisha vita kamili

https://p.dw.com/p/3Pu1l