1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.07.2021 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
19 Julai 2021

Idadi ya vifo vya mafuruko Ujerumani yaongezeka huku juhudi za uokozi zikiendelea // Mazungumzo kati ya serikali ya Afghanistan na Taliban yamalizika Doha bila mafanikio makubwa // Kesi ya rushwa dhidi ya Zuma kuendelea leo Afrika Kusini licha ya vurugu

https://p.dw.com/p/3wfPG