1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.03.2018 Matanagzo ya Mchana

SK2 / S02S19 Machi 2018

Putin ameshinda kwa urahisi katika uchaguzi wa urais/ Syria: Bomu lililoripuka katika jengo moja la ghorofa nne katika mji wa Afrin limesababisha vifo vya watu 11/ DRC: Kanisa Katoliki limesitisha kwa muda maandamano yake ya kumpinga Rais Kabila kwa kile linachoelezea kuwa ni kuwapa nafasi wanasiasa ili kupata ufumbuzi wa tofauti zao/ UN: Dunia yahitaji sera salama za maji

https://p.dw.com/p/2uZog