1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.02.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Februari 2019

Tanzania: Katibu mkuu wa chama cha wananchi, CUF amemtaka mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG kufanya ukaguzi maalum wa fedha za ruzuku zilizotolewa na msajili wa vyama vya siasa kuelekezwa kwa bodi ya wadhamani kwa upande wa Lipumba/ Uganda: Jeshi la polisi limezindua mkakati wa kupambana na ufisadi / Trump aichanganya Ulaya kwa wito wa kuwachukua wapiganaji wa IS

https://p.dw.com/p/3DbVV