19.01.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 19.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

19.01.2021 Matangazo ya Mchana

Uganda yaishutumu Marekani kuingilia siasa zake za ndani/ Serikali ya Kenya imeanzisha oparesheni eneo la Kapedo kufuatia msururu wa mashambulizi/ Tanzania: Viongozi wateule wa Magufuli wameelezwa kuwa ni mzigo, hali inayotakwa kuwa ni kumuangusha rais huyo/ Rwanda yawataka wananchi kusalia nyumbani wiki nzima/ Uturuki kuimarisha uhusiano wake na Umoja wa Ulaya

Sikiliza sauti 60:00