18.09.2019 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 18.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

18.09.2019 Matangazo ya Jioni

Iran imeitumia Marekani ujumbe wa kidiplomasia wa kukana kuhusika na mashambulizi kwenye vituo vya mafuta vya nchini Saudi Arabia, huku ikionya kwamba itajibu hatua yoyote dhidi yake/ Afghanistan: Wanamgambo wa kundi la Taliban wamewaonya wafanyakazi katika sekta ya elimu dhidi ya kushiriki katika uchaguzi wa urais/ Asasi za kiraia zatakiwa kutoa zaidi elimu ya kura kwa wananchi

Sikiliza sauti 59:59