1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.08.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Agosti 2022

Mkutano wa kilele wa 42 wa wakuu wa nchi zinazounda Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika ulimalizika jana Jumatano huko Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Vikosi vya Urusi vyaonekana Mali baada ya wanajeshi wa Ufaransa kuondoka+++Zelensky: Umoja wa Mataifa unapaswa kuhakikisha usalama wa kinu cha nyuklia Zaporizhzhia.

https://p.dw.com/p/4FkUw