1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.08.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Agosti 2020

Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Tanzania NEC imesema, kwa kiwango kikubwa imekamilisha maandalizi ya uchaguzi mkuu/ Wanajeshi wajaribu kuasi Mali, milio ya risasi nje ya kambi/ Jopo maalum la UN kwa Lebanon laanza kutoa uamuzi katika kesi ya mauaji ya Rafik Hariri / Rwanda: Miezi 6 tangu kufa Kizito Mihigo haki haijapatikana/ Burundi: Watu 413 wamekutwa na virusi vya Corona

https://p.dw.com/p/3h9UB