1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.08.2019 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S18 Agosti 2019

https://p.dw.com/p/3O4re

Makundi ya watu yamiminika  katika barabara za mji mkuu wa Sudan Khartoum baada ya baraza la kijeshi linaloongoza nchini humo na muungano mkuu pinzani kutia saini makubaliano ya mwisho ya serikali ya mpito.Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Horst Seehofer apendekeza wanaotafuta hifadhi kutoka Syria wanapaswa kurejeshwa nchini mwao ikigundulika kuwa wamekuwa wakirejea nchini humo na  waziri mkuu Boris Johnson kutumia ziara yake ya Ufaransa na Ujerumani kuwaambia viongozi wa Umoja wa Ulaya kwamba bunge la Uingereza haliwezi kuzuia Uingereza kujitoa kutoka umoja huo.