1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.06.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Juni 2019

Zaidi ya watu elfu 300,000 wamekimbia makwao kufuatia machafuko ya kikabila kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika/ Uingereza: Zoezi la kumchagua atakaemrithi May kama waziri mkuu na mwenyekiti wa chama cha kihafidhina litaendelea leo usiku/ Serikali ya Burundi imelisimamisha shirika la maendeleo ya kiraia la Parcem/ Italia na Brazil kuumana katika dimba la wanawake

https://p.dw.com/p/3KeZT