1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.05.2022 Taarifa ya habari Asubuhi

Bruce Amani
18 Mei 2022

Ukraine na Urusi zasitisha mazungumzo ya kumaliza vita wakati mzozo ukizuka kuhusu kubadilishana wafungwa // Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita yatuma wapelelezi wake Ukraine // Na Rais Biden wa Marekani alaani mashambulizi yanayochochewa na ubaguzi wa rangi na chuki

https://p.dw.com/p/4BRhv