1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.05.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Mei 2020

Mkutano wa afya duniani wa Shirika la Afya Duniani, WHO/ Macron na Merkel wamejadili mpango wa pamoja wa kuunusuru Umoja wa Ulaya kutokana na janga la virusi vya corona/ Je, muna nini kwenye dawa ya Covid Organics?/ Burundi: CENI imesema kwamba kuna waangalizi wa kimataifa watakaofuatilia uchaguzi wa keshokutwa/ Kiasi cha familia elfu nne zimeathirika na mafuriko katika Pwani ya Kenya

https://p.dw.com/p/3cQgN