18.05.2018 Matangazo ya jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 18.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

18.05.2018 Matangazo ya jioni

Rais Tayyip Erdogan wa Uturuki leo ameitisha mkutano wa kilele wa mataifa 57 wanachama wa Jumuiya ya nchi za Kiislamu-OIC// ansela wa Ujerumani Angela Merkel amewasili mjini Sochi leo Ijumaa na amekutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin.

Sikiliza sauti 59:59