1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.04.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S18 Aprili 2019

Ripoti ya kila mwaka ya shirika la waandishi wa habari wasio na mipaka RSF, imeonya kuwa chuki dhidi ya waandishi wa habari inayochochewa na viongozi wa mirengo mikali na wa kiimla imegeuka kuwa vurugu kote ulimwenguni// Ni wiki moja sasa tangu jeshi la Sudan lilipomng'oa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Omar Hassan Al Bashir.

https://p.dw.com/p/3H1k9