18.03.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 18.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

18.03.2019 Matangazo ya Jioni

Tanzania: Maalim Seif ajiunga na ACT Wazalendo/ Uamuzi wa Mahakama Kuu kumhalalisha Profesa Lipumba katika uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) umebadilisha upepo wa kisiasa kwa umma wa Wazanzibari na sasa wanajiandaa kujiunga na ACT Wazalendo/ Urusi yaadhimisha miaka mitano tangu kuliteka jimbo la Crimea

Sikiliza sauti 59:59