1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.02.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S18 Februari 2020

Tanzania: Zitto Kabwe amepatikana na mashitaka ya kujibu mbele ya mahakama jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku moja baada ya kurejea nchini humo akitokea kwenye ziara ya mataifa kadhaa ya kigeni/ Ushahidi: China inawafunga Wauighur bila sababu za msingi/ WHO yaonya watu kutokuwa na hofu iliyopitiliza kuhusu Corona/ Assange aungwa mkono na madakatari na waandishi habari

https://p.dw.com/p/3Xw8z