18.01.2022 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 18.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

18.01.2022 Matangazo ya Jioni

Ujerumani iko tayari kuyalinda maadili ya msingi katika mzozo kati ya Urusi na Ukraine hata kama itamaanisha kulipa gharama kubwa ya kiuchumi/ Wamarekani na ulimwengu unamkumbuka mwanaharakati Mmarekani mweusi Martin Luther King Jr./ Tanzania: Wananchi walalamika kukosa bidhaa muhimu/ Mali yataka kupitia upya makubaliano ya ulinzi na Ufaransa

Sikiliza sauti 59:59