18.01.2021 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 18.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

18.01.2021 Matangazo ya Jioni

Uganda: Wasemaji wa jeshi na polisi wamesema Bobi Wine ataendelea katika kizuizi cha nyumbani kwa muda usiojuliakana/ Marekani: Usalama umezidi kuimarishwa katika miji mbalimbali kuelekea kuapishwa kwa rais mteule Joe Biden/ Gavana wa mkoa wa Kivu ya Kaskazini amefanya ziara katika wilaya ya Beni/ Covid-19: Serikali ya Rwanda imezifunga shule zote za serikali na zile za binafsi Kigali

Sikiliza sauti 60:00