1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.08.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S17 Agosti 2018

Mbunge wa jimbo la Kyadondo(Chadondo) Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulani(Chagulanyi) Ssentamu, maarufu Bobby Wyne yuko kizuizini kwenye gereza la kijeshi nchini humo akituhumiwa kwa makosa matatu ya umiliki wa silaha kinyume cha sheria, lakini pia ushiriki wake kwenye machafuko katika eneo la Arua, yaliyochangia kushambuliwa kwa msafara wa magari ya rais Yoweri Museveni.

https://p.dw.com/p/33Jha