17.08.2016 Matangazo ya Asubuhi | Anza | DW | 17.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

17.08.2016 Matangazo ya Asubuhi

Wafungwa 15 kutoka jela ya Guantanamo wanahamishiwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu// Rais José Edouardo dos Sanatos wa Angola anapigania tena wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala cha MPLA// Timu nyingi katika mashindano ya olimpiki ya Rio zinategemea wachezaji wa kigeni, ambao hawakuzaliwa katika mataifa wanayoyawakilisha.

Sikiliza sauti 51:59