1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.08.2015 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Agosti 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Joto la Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania linazidi kupamba moto// Kiasi cha wafuasi mia tatu wa chama cha ACT wazalendo nchini Tanzania wameandamana// Nchini Uganda homa ya uchaguzi inazidi kupanda kufuatia muungano wa vyama vya upinzani TDA kutangaza mpango wake wa kuteua wagombea wa pamoja

https://p.dw.com/p/1GGrs