17.07.2020 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 17.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

17.07.2020 Matangazo ya Asubuhi

Tanzania- Rais wa Tanzania John Magufuli amewataka viongozi aliowateua kwenye nafasi mbalimbali kuridhika na kile alichowapa// Uchumi wa China umekuwa kwa kadri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kunywea mwanzoni mwa mwaka huu kutokana na athari za janga la virusi vya Corona// Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM limesema maelfu ya wahiamiaji nchini Yemen wanakabiliwa na mateso.

Sikiliza sauti 51:59