17.05.2018 Matangazo ya asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 17.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

17.05.2018 Matangazo ya asubuhi

Warundi leo wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi kuyapigia kura mageuzi ya katiba ambayo yatampa madaraka makubwa rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza// Picha za satelaiti zimeonesha Korea Kaskazini ikikongoa vifaa katika mtambo wake wa majaribio wa nyukilia.

Sikiliza sauti 52:00