1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.04.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Aprili 2020

Waziri wa Afya wa Ujerumani, Jens Spahn amesema mfumo wa huduma ya afya nchini humo, umefanikiwa kudhibiti mripuko wa virusi vya corona// Wagonjwa wa corona wafikia 147, Tanzania// wakaazi wa mitaa ya mabanda na wazee katika jamii wana kila sababu ya kushusha pumzi baada ya serikali kuwatengea kifurushi maalum cha bidhaa za matumizi// Msimamo wa kuwauwa wahalifu, Kenya wazua wasiwasi.

https://p.dw.com/p/3b5Ie