17.04.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 17.04.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

17.04.2019 Matangazo ya Mchana

Ujumbe wa usaidizi wa Umoja wa Mataifa nchini Libya umelaani ongezeko la matumizi ya silaha nzito na mashambulizi holela dhidi ya makazi ya watu, shule na miundombinu// Rais Donad Trump ametumia kura ya turufu kupinga azimio la bunge la nchi yake linaloitaka Marekani iache kuisaidia Saudi Arabia katika vita vya nchini Yemen.

Sikiliza sauti 60:00