1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.01.2022 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S17 Januari 2022

Kenya yaanza awamu ya pili ya kuwasajili wapiga kura wapya/ Tanzania: CCM yaanza mchakato wa kutafuta spika mpya/ Sudan: Madaktari wameandamana kupinga mashambulizi wanayodai yanafanywa na maafisa wa usalama dhidi ya maafisa wa afya/ Oxfam: Mabilionea watajirika maradufu wakati wa Covid-19/ Nigeria: Ndoa za utotoni bado tatizo kubwa

https://p.dw.com/p/45dEr