1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.11.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Novemba 2021

Miripuko ya mabomu katika kitovu cha mji wa Kampala asubuhi ya leo imesababisha hofu na wasiwasi mkubwa miongoni mwa watu+++Wafungwa watatu waliokutwa na hatia ya ugaidi nchini Kenya wametoroka kutoka gereza lenye ulinzi mkali la Kamiti mjini Nairobi+++Makumi ya watu wameuawa katika muaji mapya huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika siku za hivi karibuni.

https://p.dw.com/p/433fP