1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.11.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Novemba 2017

Zimbabwe- Rais Robert Mugabe amesisitiza kwamba atasalia kuwa mtawala pekee halali wa taifa hilo, kimesema chanzo kimoja cha kijasusi leo hii, huku akigomea mazungumzo ya upatanishi kuongozwa na padri wa kanisa Katoliki nchini humo Fidelis Mukonori/ Ujerumani-Majadiliano yamepamba moto hapa Bonn, ikiwa ni siku moja kabla ya mkutano wa kujadili mabadiliko ya tabia nchi ujulikanao COP23 kukamilika.

https://p.dw.com/p/2nk25