16.10.2020 Matangazo Ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

16.10.2020 Matangazo Ya Jioni

Umoja wa Ulaya umesema unaendelea kufanyia kazi makubaliano mapya ya Brexit, na kutupilia mbali kauli ya waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson, kuwa wako tayari kuondoka bila makubaliano, ukiitaja kama upuuzi// Mkuu wa jeshi la polisi, nchini Tanzania, IGP Simon Sirro ametoa onyo kali, akisema jeshi hilo limegundua vyama vya siasa vinavyotaka kuvuruga uchaguzi mkuu ujao

Sikiliza sauti 59:59