16.09.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 16.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

16.09.2021 Matangazo ya Mchana

Afghanistan- Msuguano waongezeka kati ya pande mbili za uongozi wa Taliban+++Mkuu wa kundi linalojiita dola la Kiislamu, ukanda wa jangwa la Sahara Adnan Abu Walid al-Sahrawi ameuwawa+++Marais wa Jumuiya ya ECOWAS kukutana tena Alhamisi kujadili hatua za ziada kufuatia mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea+++Marekani, Uingereza na Australia zazindua muungano wa usalama.

Sikiliza sauti 60:00