1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.07.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

16 Julai 2021

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amekutana na rais wa Marekani Joe Biden mjini Washington. Ujerumani imetuma mamia ya wanajeshi kusaidia uokozi kwenye majimbo yenye mafuriko. Idadi ya waliokufa katika ghasia nchini Afrika Kusini yafikia 117.

https://p.dw.com/p/3wYPJ