16.07.2020 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

16.07.2020 Matangazo ya Asubuhi

Kinyang'anyiro cha kuwania urais nchini Ivory Coast kimechukua mkondo hatari/ Ujerumani- Kansela Angela Merkel amesisitiza Jumanne kwamba hatoingilia mjadala kuhusu nani anayepaswa kuwa mgombea wa vyama ndugu vya siasa za wastani na mrengo wa kulia/ Utafiti uliofanywa kwa wagonjwa wa COVID-19 umebainisha kuwa walipoteza kinga yao dhidi ya magonjwa katika muda wa miezi miwili hadi mitatu ya kupona.

Sikiliza sauti 51:59