16.07.2019 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

16.07.2019 Matangazo ya Asubuhi

Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ndiye mteule wa nafasi ya ukuu wa Kamisheni ya Ulaya lakini kwa namna gani ugombea wake kwa nafasi hiyo unapokewa kwa wanachama wa Umoja huo kutokea mataifa ya mashariki?/ TAnzania: Tahmini ya hali ya elimu ya juu/ Wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon kwa kipindi kirefu sasa haijapata kiongozi/ Leo ni maadhimisho ya miaka 50 tangu binadamu kwanza atembee mwezini

Sikiliza sauti 51:59